Kikao cha sita kilipangwa kiwe tarehe 01 Mei 2011
Wadau wakaitikia mwito na kujitokeza kwa wingi kuhudhuria kikao hichi huku kwetu Uswazi
njia za kwetu huku si mchezo
Lakini hatimae kikao kilimalizika, na wajumbe wakarejea makwao salama salimini.Kikao chetu kifuatacho kitakuwa Kitunda tarehe 29 Mei 2011 na Mwenyeji wetu safari hii ni familia ya Bw. Kulwa Malembo.
Tutaonana huko
No comments:
Post a Comment