Total Pageviews

Monday, May 16, 2011

WADAU WAJITOKEZA KIKAO CHA SITA CHA WANANDUGU

Mwenyekiti wa Kikao cha Wanandugu, nilikuwa nimelala Bagamoyo kwa ajili ya kukamilisha shughuli za kikazi, na baadae kuwahi kikao cha wanandugu kule Mbagala.

Kikao cha sita kilipangwa kiwe tarehe 01 Mei 2011Wadau wakaitikia mwito na kujitokeza kwa wingi kuhudhuria kikao hichi huku kwetu Uswazi
njia za kwetu huku si mchezo

sehemu nyingine lazima kusubiriana

na lazima kuwa na wataalamu wa kusoma ramani waliobobea

Naam, huku ndiyo kwetu Mbagala, hapa nyumba pale jalala

Lakini hatimae wageni waliwasili, na kupokewa na wenyeji wao Bw Titus Gunze kwa bashasha na furaha tele

Na baadae kikao kiliendelea kama kawaida




ajenda nyingine zilihitaji kukuna vichwa na busara ya hali ya juu

huku wajumbe wakichambua huku na kule






Lakini hatimae kikao kilimalizika, na wajumbe wakarejea makwao salama salimini.Kikao chetu kifuatacho kitakuwa Kitunda tarehe 29 Mei 2011 na Mwenyeji wetu safari hii ni familia ya Bw. Kulwa Malembo.


Tutaonana huko

Saturday, May 14, 2011

DAY OF ROYAL WEDDING 29.04.2011

Siku ulimwengu ulipokuwa ukifuatilia Royal Wedding, Somewhere in Newala mdau wetu MSALYA nae alikuwa akifuatiliwa wedding yake na umati mkubwa wa vijiji vya Msongwere,Mandara, Mpotola na Kitangari kule kusini mwa Tanzania, wilayani Newala mkoa wa Lindi



Unamkubali na utamtunza kwa shida na raha????????????






unilishe, nikulishe




Thursday, May 12, 2011

COUNT DOWN TO MDAU'S DAY

Mdau Tabitha anatimiza miaka kadhaa ..............kesho kutwa 17 MAY 2011


HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR TABITHA

GOD BLESS YOU TO LIGHT THE 101 CANDLE ONE DAY

Tuesday, May 10, 2011

MDAU's DAY PRICILLA



Mdau PRICILLA a.k.a. JAPANESE majuzi

23.05.2011

ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.

alikuwa akifunga mwaka wa tatu.

HAPPY BIRTHDAY PRICILLA

Mjini Morogoro Mdau aliandaliwa pati la nguvu.

Kwa yaliyojili katika pati hilo.

endelea kuangalia hapa

BJ VISIT

Usiombe kupata ugeni nilioupata ofisini siku ya 30.04.2011

B Junior a.k.a. Babu a.k.a. Dada alinitembelea ofisini akiwa njiani kwenda kanisani Mzizima.

Lakini ajabu yenyewe, mgeni huyu hakutaka hata kushuka ndani ya gari iliyomleta
Sikuelewa kama "KUJIGOSHA" kupo mpaka maofisi

TASWIRA KUTOKA BWASI

Nilipata bahati ya kupata taswira hizi kutoka kwa wana FORUM wanaojipanga kuiendeleza majita
madhari ni nzuri yenye kutia matumaini

Naam, unazikumbuka amri kumi za Mungu!!


wanaoufahamu mtu huu unaitwa "NYABHIGANJA" kumbukumbu ya kihistoria wakati wa utawala wa Wajerumani.


Kanisa la Sabato


Madhari nzuri hata kwa uwekezaji

KANISANI KINYEREZI 23.04.2011

Nilipata nafasi ya kuweko kanisani siku ya Jumamosi, wakati wa sikukuu ya pasaka

Bw. Joel Joshua Kaitira aliongoza idara ya huduma




Kwaya nayo ikahudumu
Mwinjilisiti kutoka mtaa wa Kurasini akatulisha neno la uzima siku hiyo.

Msisitizo ukiwa

KUHIMIZA USOMAJI WA VITABU