Total Pageviews
Thursday, November 18, 2010
IDD EL HAJI
Jana baada ya pilikapilika za sikukuu na mihangaiko ya hapa na pale, tukatoka hadi kule kipunguni kuangalia mizigo ya Marehemu Josia.Baada ya tafakuri ya kipi kinaweza kwenda Bunda, kipi cha kubaki na kipi kifanyiwe nini. Hatimae tukafikia muafaka.
Katika safari ya kurejea kwetu Kinyerezi, tukasema si vibaya tukapitia Garden ku pass time.Kwa wale mnaopajua KM Magereza, madhari yake ipo vizuri sana.
Kwa kuwa Ki Nokia changu nilikuwa nacho nikaona si haba nikanyaka japo picha mbili tatu za kumbukumbu.

VIJANA WA ENZI HIZO
Wednesday, November 17, 2010
LEO NI SIKUKUU
Lakini leo pia ni
BIRTHDAY
ya mdau
MANYORI BILLY KURWIJIRA MSALYA
Picha hizi nimezipata asubuhi hii baada ya kuwa ameimbiwa
HAPPY BIRTHDAY
kwa kutumia Ki NOKIA changu kule kwetu Kinyerezi.
Naamini na wadau wengine pia mtaungana na wana Kinyerezi kumwimbia leo.
Katika Anniersary hii ya miaka 25
Lakini leo pia katika Kumbukumbu,
Inatimia miaka 25 toka mpendwa wetu
NYAMALELO BETTER KURWIJIRA MSALYA
alipotutoka kule Nkinga, Nzega.
DAIMA TUTAMKUMBUKA
Tuesday, November 9, 2010
BIRTHDAY YA MDAU - LILIAN
Wednesday, November 3, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)












