Wednesday, June 6, 2018

VISITING TWIN TOWN

Mji wa Redditch, Uingereza. mji rafiki wa Mtwara tokea 1986. Uhusiano ukiratibiwa vyema na ROWL (Redditch One World Link).
Mdau wetu, Mwanasheria Nyachiriga pamoja na wenzie watatu toka Mtwara wameondoka alfajiri hii kwa ziara ya wiki tatu ya kuutembelea mji wa Redditch.
Tuna matumaini itakuwa ziara ya mafunzo na mafanikio.

Monday, June 4, 2018

KWAHERI MARIA, KWAHERI CONSOLANTA

Maria na Consolata Mwakikuti.
1996 - 02 Juni 2018

Monday, May 21, 2018

WAGENI KUTOKA MBALI


Kihonda Morogoro, Jumapili.
Pilikapilika kuanzia asubuhi, Familia ikikusanyika hapa kutoka Dar Es Salaam, Dodoma na penginepo.
Wageni kutoka mbali Mabwana Peter Chigugu na Joel Mashenene kutoka mbali, na salamu zao toka kwa James Mgusi wa huko mbali.
Ni Wageni wanaotaka kuwa ndugu nasi, hivyo pamoja na salamu Wageni walikuja na zawadi.
Wenyeji nao wakawakaribisha wageni kwa bashasha na ukarimu mkubwa.
Hakika itakuwa ni siku isiyosahaulika kwa wote pamoja na Bhituro Teddy.

Monday, May 14, 2018

ONLY KWA WASTAAFU


Twist, mpaka chini........
Kuwaburudisha Wastaafu.
Ni katika Usiku wa Donald na Sarah.
Jumamosi,
Blue Saphire Hall, Mbezi Beach

ULINZI UNAPOIMARISHWA


Blue Saphire Hall, Mbezi Beach Jumamosi.
Ndani ya Ulinzi uliokamilika ya Makamanda wangu.
Ni katika Usiku wa Donald na Sarah.

Thursday, May 3, 2018

MTAANI KWETU

Mtaani kwetu leo asubuhi,
Mambo yenda yakibadilika.
Sasa ni Muonekana mpya.

Wednesday, April 25, 2018

CHAIBORA ON GOOGLE MAP

Did you notice that ChaiBora is now on Google map!

Monday, April 16, 2018

THE GREEN NAKATUBA

Ni kipindi cha Mvua,
Nakatuba imerudia hali yake ya zamani, Nakatuba ya Kijani.
Picha toka kwa Mdau Chuma akiwa malishoni jumamosi jioni.

Wednesday, April 11, 2018

WONDER TREE

Mti wetu wa maajabu,
Ni Mti wa Mkungu unaoendelea kustawi katika paa la ofisi yetu.
Msimbazi Centre, Kawawa Road

HELLO GM HOTEL

Morogoro Town,
Easter Holiday

THE DANGEROUS GAME

Game without precautions and Safety Gears,
Its a Dangerous Game.
Tabata Dar West, Friday Evening.

PENINA DAY

The Peninas on Kate Penina Day
01st April 2018
Dodoma

Tuesday, April 3, 2018

IN LOVING MEMMORIES OF SILLA

Katika vikao mbali mbali vya jumuia yetu ya CHENDANE, Back in 2012
 In Kiembembuzi2012
 Birthday Lunch 09 December 2011
 Kipunguni
 Final Touches, Washrooms Kinyerezi  July 2014
 Driving Graduation, VETA Nyakato Mwanza December 2014
 Ukerewe Trip December 2015