Monday, May 21, 2018

WAGENI KUTOKA MBALI


Kihonda Morogoro, Jumapili.
Pilikapilika kuanzia asubuhi, Familia ikikusanyika hapa kutoka Dar Es Salaam, Dodoma na penginepo.
Wageni kutoka mbali Mabwana Peter Chigugu na Joel Mashenene kutoka mbali, na salamu zao toka kwa James Mgusi wa huko mbali.
Ni Wageni wanaotaka kuwa ndugu nasi, hivyo pamoja na salamu Wageni walikuja na zawadi.
Wenyeji nao wakawakaribisha wageni kwa bashasha na ukarimu mkubwa.
Hakika itakuwa ni siku isiyosahaulika kwa wote pamoja na Bhituro Teddy.

No comments:

Post a Comment