Monday, April 2, 2018

THIS IS BABU CHAI

Picha ya kuchora ya Babu Chai,
Kama alivyoonwa na kuchorwa na Artist Priscilla George.
Kihonda Ngerengere Jumapili usiku.
Ni kipaji kinachoanza kujitokeza kwa Priscilla, aliyeko darasa la Nne shule ya Msingi Agape, Kitungwa Morogoro.
Mchoraji huyu alitumia dakika kumi kumuangalia Babu na kukamilisha mchoro wake.
Hongera Pricilla.

No comments:

Post a Comment