Thursday, March 15, 2018

TANZIA; SILLA MWAYAI MSALYA

Silla Mwayai Msalya
09 Desemba 1976 - 15 Machi 2018
Mdau wa Blog yetu
Silla Mwayai Msalya amefariki alasiri hii.
Amefariki kwa ajali ya Gari aliyokuwa akiiendesha huko Sengerema.
Blog itaendelea kuwapatia taarifa zaidi za msiba.
BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments:

Post a Comment