Monday, February 12, 2018

BURIANI GASIGE MAFURU NYABHUYOGA 1974 - 2018

 Gasige Mafuru Nyabhuyoga,
Alhamisi 08 February 2018 kule Bhulinga, Majita.
Tukaongea kwa kirefu ukanisimulia Ato Z ya maradhi yako, ukiwa na matumaini makubwa ya kurejerea shughuli zako na familia yako.
Hakika hakuna ajuae!

Alfajiri ya Jumamosi ninaamushwa kujulishwa kwamba hauko pamoja nasi, Tangulia Binamu.
Wakezo na Watoto wako wanakulilia,
Upumzike kwa Amani
Makojo, Majita
Jumapili 11 February 2018 Nikashuhudia mwenyewe ukipumzishwa.
Hakika Mwenyezi Mungu Alitoa,
Na Mwenyezi Mungu Ametwaa,
Jina lake Lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment