Saturday, January 13, 2018

BURIANI MARTIN KAAYA 1945 - 2018

Wadau wa Blog,
Jana wameshiriki Misa ya Kumuaga Mpendwa wetu Martin Sioyi Kaaya katika Kanisa la KKKT Buzza.
Marehemu Martin Kaaya alifariki Jumapili tarehe 07 Januari 2018, na Jana amesafirishwa kwa Maziko Meru Arusha.
Bwana alitoa, Bwana Ametwaa, Jina lake Lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment