Wednesday, October 4, 2017

MITAA YA SIKUKUU KATIKATI YA STOCKHOLM



 


Kama ilivyokuwa kwa  Mtaa wa Sikukuu mjini Dar es Salaam, kuwa na Biashara ya vyakula viambazani nyakati za jioni, Ndivyo ilivyo kwa jiji kongwe la Stockholm nchini Sweden.
Sehemu nyingi za kati ya Mji Mkongwe huu ni Migahawa viambazani ikiuza Chakula na vinywaji kwa Watalii wengi wanaofurika katika maeneo haya.

No comments:

Post a Comment