Sunday, October 1, 2017

KIZURI HAKIKOSI KASORO

Pamoja na uelewa, na utunzaji mzuri wa Mazingira,
Mvuta Sigara huyu hakuzingatia pahala stahili pa kutupa hili ganda la Sigara.

No comments:

Post a Comment