Tuesday, September 5, 2017

WHAT WOULD A DALADALA DRIVER DO?

Pale foleni inapokuwa imesimama haisogei kabisa, Wewe ungefanya nini?
Madereva wa Daladala hushuka na kupiga soga.
Kigogo Sambusa, Kawawa Road
Leo asubuhi

No comments:

Post a Comment