Sunday, September 3, 2017

TUPIGE PICHA

Wewe ungefanyaje?
Unawakuta vijana hawa wenye nguvu, Kijiweni kwao.
Wanakwambia tupige picha.
Kwa mimi nimesalimu amri, nimetekeleza matakwa yao.
Nimewapiga picha.
Kinyerezi Dispensary leo jioni

No comments:

Post a Comment