Friday, September 15, 2017

SEMA HAPANA KWA WIZI WA NG'OMBE NAKATUBA

Nakatuba, Alhamisi.
Wananchi wa kijiji cha Nakatuba wamekusanyika jana katika Mkutano.
Ni Mkutano wa Kukemea Wizi wa Ng'ombe Kijijini.
Watuhumiwa wanatajwa.

picha kwa hisani ya mdau wetu Mr Baruku

No comments:

Post a Comment