Wednesday, August 30, 2017

LUGHA ADIMU

Bi Katrina Esau.
Je waijua lugha yenye wazungumzaji watatu tu Duniani?
Ni lugha ya Nluu, ni lugha huko Afrika Kusini ya jamii ya San au Bushmen. Nluu haizungumzwi tena kila siku sasa kwa sababu hata hao watatu wanaoweza kuingoea wanaishi vijiji tofauti.
Mmoja wao Bi Katrina Esau, Miaka 84 anaeishi huko Upington Jimboni Northen Cape ana matumaini ya kuifundisha lugha isipotee kabisa baada ya kufa kwake.
Darasa la lugha ya Nluu

Habari kwa msaada wa mitandao ya BBC na WIKIPEDIA

No comments:

Post a Comment