Tuesday, August 29, 2017

KUTOKA MAKTABA YA WAHENGA

Picha ya Wahenga iliyopigwa Bagamoyo enzi hizo.
Inawezekana kabisa ilikuwa tarehe 17 Novemba, Mwaka sikumbuki.
Maana kwa tafsiri yangu hii ni siku ya BirthDay ya Manyori, na Kumbukumbu ya Marehemu Better.
Hiyo picha kifuani iliwekwa kwa makusudi.
Yumkini Gauni hilo ni zawadi kutoka Netherland na Fulana ya Malcom X ni zawadi toka kwa Mtalii wa Kimarekani aliyekaa Badeco Hotel kwa siku kadhaa.

Picha kwa Hisani ya mdau wetu toka Mtwara Bi Jenniffer

No comments:

Post a Comment