Saturday, July 1, 2017

NJIANI KUELEKEA NAKATUBA

Wadau wetu wengi wa Blog wako Nakatuba tayari, au wanaelekea kwa ajili ya Mukutano wa mwaka wa familia. Njiani wadau wanaendelea ku "share" nasi picha kwa kadri wanapopitia.
Mwanza jana, Mdau Mzee wa Makamuzi alipokutana na Members wapya wa Familia. Nyabherenga "Nyamasisi" Silas na CK Jnr6
Jumamosi,
Bunda pamoja na wanafamilia.

No comments:

Post a Comment