Tuesday, June 27, 2017

KIJIWENI KWETU HAPA

Iddi Pili,
Ni kijiweni kwetu,
Wajumbe wetu wanakuja na kutoka.
Hakika mla ni mla jana!
Wajumbe hawana habari kwamba na leo pia ni Sikukuu.
Eid Mubarak

No comments:

Post a Comment