Sunday, May 28, 2017

ZAWADI YA MLIMA KARMEL

Mlima wa Karmel, Pwani ya Israel Bahari ya Kati. Ni hapa Nabii Eliya alipatumia kwa maombi.
Kama Nabii Eliya, Mzee William Mwenura ametuachia pia Mlima wa Karmel, Msingwa.
Ni mlima kwa ajili ya maombi ya faragha.

2 comments:

  1. macheles grandieeMay 28, 2017 at 2:38 PM

    huu mlima karmel wa pili upo wapi babu?

    ReplyDelete