Wednesday, May 3, 2017

TWENDENI GEZA ULOLE

Enzi zile,
Wanamuziki wa zamani, wakati wa kina Ngulimba wa Ngulimba waliimba na kutuhimiza kwenda kuishi kwenye vijiji vya ujamaa,
Twendeni Geza ulole,
Kibugumo na Mwanamilato, kwenye makao mapya.
Miongo takribani mitatu baadae, Mdau wetu mmoja ameitikia wito,,,,,,,,,,,,,,,
Anajipanga kwenda Mwongozo.
Sina hakika lakini kama vile vijiji vya ujamaa vilivyoimbwa enzi zile vingalipo.

No comments:

Post a Comment