Monday, May 15, 2017

KWAHERI PHARES J KONGORA

Phares Jonathan Kongora,
Amehitimisha safari yake ya hapa Duniani.
Alizaliwa kijiji cha Nakatuba, Kibara Bunda 28 Julai 1975
Alifariki 11 Mei 2017 Hospitali ya Muhimbili baada ya kusumbuliwa kwa miezi kadhaa na maradhi ya Figo.
Bw Phares ameacha Mjane na watoto watatu.
Jana ameagwa Kawe Polisi Quarters na baadae kupumzishwa kwenye makazi yake akisubiria ufufuo, Makaburi ya Tanki Bovu.
Bwana alitoa,
Bwana Ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Blogger alihudhuria, na anatuangazia machache yaliyojiri.

No comments:

Post a Comment