Monday, May 29, 2017

KWAHERI WILLIAM MWENURA

William Mwenura
1938 - 2017
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu wakati wa kusheherekea tamati ya maisha ya William Mwenura katika kumtumikia hapa Duniani.
Jumamosi 20 Mei 2017,
Ndugu, Jamaa na marafiki mbalimbali tulikutanishwa hapa Msingwa.

Msalya family iliwasilishwa
Wachungaji kadhaa wakitoa mafundisho
Bhinamo & Mtaki
Miss Jane Nimrod Ching'oro
Mrs Nyaruga Mteki
 Mwalimu wa manyori wa Siku nyingi alikuwepo
 Team Bwasi
 Francis Musibha
 Musso
 Bhusee
 Torokoko
 Mwaituro
 Kambira
 Shaft, jirani Ubungo tumeonana takribani baada ya miaka 20
 Miss Chilemeji "Patel"
Mkama

TANZIA, MZEE CHISUTE MTEKI

Mzee CHISUTE MTEKI

Baba, Babu yetu na rafiki yangu Mkubwa amefikwa na Mauti usiku wa kuamkia 
leo 29 Mei 2017, nyumbani Musoma.
Taarifa zaidi kadri zinavyotufikia tutajulishana.

Sunday, May 28, 2017

ZAWADI YA MLIMA KARMEL

Mlima wa Karmel, Pwani ya Israel Bahari ya Kati. Ni hapa Nabii Eliya alipatumia kwa maombi.
Kama Nabii Eliya, Mzee William Mwenura ametuachia pia Mlima wa Karmel, Msingwa.
Ni mlima kwa ajili ya maombi ya faragha.

Tuesday, May 23, 2017

TETE A TETE WITH SUPER

Electrical Eng. Super Mteki in a Conversation with Mwl.
Bunda

Monday, May 22, 2017

FOLENI PALEPALE

 Kutoka ndani, unaingia kwenye Foleni
 BL Park (Makhirikhiri)
Kilimani, Stakishari