Friday, April 7, 2017

TANZIA

Bi. TECHLA ALFRED DADI SIMBUA
1942 - 2017
Wadau wa Blog,
Tumefikwa na msiba mkubwa.
Mama yetu, Bibi yetu Bi Techla Simbua amefikwa na mauti ghafla jana usiku.
Aliugua ghafla usiku, lakini akafikwa na umauti wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitalini Ligula. Marehemu alizaliwa 1942, Mnyambe Newala.
Maandalizi ya maziko  kesho jumamosi yanaendelea nyumbani kwa Bw & Bi Msalya, Nandope 
Mtwara.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment