Tuesday, April 4, 2017

MIKAKATI

Ufanisi wa Mwanafunzi umejengwa katika ushirikiano wa Mwalimu, Mzazi na Mwanafunzi mwenyewe.
Wazazi wa wanafunzi wanaomaliza darasa la saba tumekutana na Walimu na kamati ya shule kupanga mikakati ya ufanisi wao.
Kinyerezi JICA jumapili.

No comments:

Post a Comment