Sunday, February 26, 2017

TANZIA - KAITIRA MAGOTI KUBHOJA

Kaitira Maghoti Kubhoja,
1924 - 2017

Mzee wetu, aliyekuwa  First born  wa Babu yetu Magoti amefikwa na mauti usiku wa kuamukia leo nyumbani kwake Mabhuimerafuru.
Kwa siku za karibuni afya yake imekuwa ikizorota kutokana na kusumbuliwa na miguu pamoja na umri kutopea.
Tutamkumbuka kwa mengi.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa amani Ankal Kaitira.

No comments:

Post a Comment