Monday, January 2, 2017

TANZIA

Ndugu yetu Maira hatunae tena.
Maira ni mdogo wake na Kagere, kwa Mama mmoja Bi Mwajuma Chiyarata.
Kunako February 2015, Maira alipata matibabu ya kuondolewa uvimbe usoni ndani ya pua.
Pamoja na kupata nafuu kwa nyakati fulani, tatizo hili limekuwa likiendelea hadi kuleta umauti juzi usiku wa kuamukia mwaka mpya.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa, 
Jina lake lihimidiwe.
Amina

No comments:

Post a Comment