Monday, December 5, 2016

MVUA ZA KWANZA NI ZA KUPANDIA

‘’MVUA za Kwanza ni za Kupandia’’ilikuwa ni kauli mashuhuri enzi za Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, akihamasisha kilimo ambacho kwa wakati huo kilikuwa na kauli Mbiu ya ‘’Kilimo ni Uti wa Mgongo’’.
Mkulima makini anatakiwa kuwa na mbegu bora mapema kabla ya mvua kuanza.
Kinyerezi, Jumapili

No comments:

Post a Comment