Thursday, December 29, 2016

MIKONO YA BARAKA

Kuna Baraka nyingi hasa zinatokana na mikono lakini hatujishugulishi
 Zaburi 24:4-5 
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila. Atapokea baraka kwa Bwana, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake

No comments:

Post a Comment