Saturday, November 19, 2016

The McCAUGHEYS FAMILY

 
 
19 Novemba 1997 Dunia ilipata mshangao wa aina yake.
Bw na Bi Kenny & Bobbi McCaughey wa Des Moines, Iowa, Marekani walipata mapacha saba.  Watoto watatu wa kike na wanne wa kiume.
Kenny Robert, Alexis May, Natalie Sue,Kelsey Ann, Nathan Roy, Brandon James na Joel Steven.
Dada yao mkubwa  Mikayla Marie yeye alizaliwa tarehe 3 Januari 1996.
Hivi karibuni wote hawa wamehitimu elimu yao ya chuo kikuu toka vyuo mbalimbali.
Na leo ni siku yao maalumu,
Ni siku yao ya kuzaliwa wakitimiza miaka 18.
HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY 
The McCaugheys

No comments:

Post a Comment