Saturday, July 23, 2016

TANZIA

Taarifa kutoka Karukekere zilizoifikia Blog punde ni kwamba Mama yetu,  Bibi yetu Nyamkaruka hatunae tena.
Amefariki muda mfupi uliopita nyumbani Karukekere.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment