Tuesday, July 5, 2016

AJALI MABASI YA CITY BOY

Mabasi mawili ya City Boy yaliyopata ajali ya kugongana uso kwa uso na kuua watu 29.
Ajali hii ilihusisha basi lenye usajili wa no T 531 BCE likitokea Dar kwenda Kahama na basi T 247 linalotoka Kahama kwenda Dar.
Ajali ilitokea eneo la Maweni, wilayani Manyoni mkoa wa Singida. 

Picha kwa hisani ya Mdau wa blog, Baruku kutoka Dodoma.

No comments:

Post a Comment