God created nephews to bring joy to the lives of aunts and uncles. Good job. Happy Birthday with love.
Saturday, April 30, 2016
Friday, April 29, 2016
Thursday, April 28, 2016
Monday, April 25, 2016
Saturday, April 23, 2016
Wednesday, April 20, 2016
Monday, April 18, 2016
Sunday, April 17, 2016
Monday, April 11, 2016
WATOTO WA MTAANI
Ubungo Bus terminal, leo asubuhi
Watoto
wa mtaani,
Mtaani
ndio nyumbani kwao.
Wametelekezwa au kufiwa na wazazi wao.
Lakini pia familia zingine wanatembeza watoto wao mtaani ili waende kupata hela.
Wengine
wanashinda njiani kwa sababu ya hali ya umaskini wa familia zao.
Wanafanya kazi ndogo ndogo au wanaibaiba. Wamezoea kupigana na
kuombaomba kwa ajili ya chakula. Biashara ya madawa ya kulevya ni
kawaida kwao.
Wanalala
mtaani bila ya kulindwa na mara kwa mara wanafukuzwa na polisi.
Watoto
wa mtaani wengi wanakabiliana na adha zote za mtaani, njaa, jua, mvua baridi na maradhi mbalimbali,vitendo vya vurugu na mengine mengi.
BACK TO SCHOOL
CK Jnr anarejea Chome,
Leo asubuhi, gari aliyopanda, Machame Safari ikiondoka Ubungo Bus Terminal.
Thursday, April 7, 2016
Wednesday, April 6, 2016
TANZIA
Mama yetu
Mrs Nyamunda Perus Samson hatunaye.
Amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Nakatuba baada ya kuugua muda mrefu.
Bwana alitoa
Bwana ametwaa
Jina lake lihimidiwe.
Mrs Nyamunda Perus Samson hatunaye.
Amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Nakatuba baada ya kuugua muda mrefu.
Bwana alitoa
Bwana ametwaa
Jina lake lihimidiwe.
Tuesday, April 5, 2016
Saturday, April 2, 2016
THOSE GOOD OLD DAYS
Enzi hizo,
Ni wakulima wachache kijijini kwetu waliokuwa wanaweza kuuza pamba ya kufikia kiasi hichi.
Tumetoka mbali.
Ni wakulima wachache kijijini kwetu waliokuwa wanaweza kuuza pamba ya kufikia kiasi hichi.
Tumetoka mbali.