Tuesday, March 29, 2016

BURIANI ZEBEDAYO MAINGU MAFURU

ZEBEDAYO MAINGU MAFURU, amefariki nyumbani kwake Kibamba, Dar Es Salaam. alfajiri ya tarehe 23/03/2016.
Mazishi yalifanyika nyumbani kwa Marehemu Jumamosi tarehe 26/03/2016.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Bwana Mafuru alinipokea Tanna Somaiya kama Audit Assistant akiwa Adminstration Officer 1991, lakini baadae tena akanipokea kama Mhasibu huko Tradeco Soap Industries Limited (Mohamed Enterprises Tanzania Limited) akiwa pia Administration Officer mnamo 2005.

No comments:

Post a Comment