Tuesday, February 2, 2016

NI MAFURIKO !!!!!

Hali si shwari Mtwara,
Mvua za usiku kucha na mchana huu zimesababisha mafuriko katuka baadhi ya mitaa ya Mtwara.
Mojawapo ya maeneo yaliyoathirika ni Ligula.
(Picha za mafuriko Mtwara kutoka maktaba)

No comments:

Post a Comment