Monday, January 18, 2016

BREAKING NEWS - MKWAJUNI SI SHWARI

Wananchi wa bonde la Mkwajuni Kinondoni wamefunga barabara ya Kawawa. Wanachoma matairi na kujaza magogo barabarani. Hiyo ni kupinga Bomoa bomoa inayoendelea jijini.

SOURCE:
Mitandao ya kijamii

No comments:

Post a Comment