Tuesday, December 15, 2015

VITA DHIDI YA KIPINDUPINDU

Wakati Dar tukisisitizwa usafi kwa ajili ya kujikinga na Kipindupindu, Wauza matunda bado wanapanga bidhaa zao chini. 
Buguruni Sokoni, Jumatatu jioni.

No comments:

Post a Comment