Wednesday, December 16, 2015

SHARING LIKIZO TIME PHOTOS

 Lamadi,
Inapendezaje wakati unapopokelewa unatambua kabisa itakayokuwa mboga ya mgeni kwa siku hiyo.
 Busambara,
Mafuriko yamesababisha barabara kupitika kwa shida.
Kibara,
Kuangalia fursa.
Endapo Mwibara itakuwa wilaya kama inavyoombewa, na Kibara ukawa mji mkuu wa Wilaya basi uwekezaji wa sehemu za makazi kwenye mji huu kwa sasa ni fursa.

No comments:

Post a Comment