Monday, December 14, 2015

RAHA NA KARAHA YA NJIA ZA VICHOCHORONI

Kunapokuwepo na jam ya foleni barabara kuu, Njia za Chocho ni suluhisho.
Lakini kwa njia za Chocho usiombe kukuta jam huko, Umekwisha.............
Inatakiwa uungwana.
Buguruni Malapa jumamosi.

No comments:

Post a Comment