Tuesday, December 15, 2015

KIZURI KWAKO, KIBAYA KWA MWENZAKO

Wakati wengine wakifurahia neema ya mvua leo asubuhi jijini Dar,
Kwa hakika kwa wengine pichani, ambao hutajwa kuishi maisha ya mazingira magumu hali si shwari, kwa kuwa watoto walibidi kukatisha shughuli yao ya kikazi ya kuomba toka kwa wasamaria wema. Na hata wazazi vigoda vikiwa havikaliki.
Kawawa Road/Nyerere Road leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment