Friday, December 4, 2015

CHA KUOKOTA SI CHA KUIBA

Pengine ndiyo muono wa Mwananchi huyu aliona Mnara huu umekaa tu bila kutumika.
Ameamua kuubadilisha kuwa ni makazi yake.
Bila shaka physical address yake itasomeka:
0 Clock Tower, 3rd Floor
Samora Avenue.

No comments:

Post a Comment