Thursday, December 10, 2015

BARAZA LA MAWAZIRI

WIZARA
Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala bora: 

Mawaziri ni George Simbachawene na Angela Kairuki, 
Naibu waziri Jaffo Selemani Said
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira: 

Waziri: January Makamba 
Naibu waziri Luhaga Jerrson Mpina
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Walemavu

Waziri Jenista Mhagama, 
Naibu mawaziri, Possy Abdallah na Anthony Mavunde
Kilimo, Mifugo na Uvuvi: 
Waziri  Mwigulu Lameck Nchemba, 
Naibu waziri Wiliam Ole Nashe
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano: 

Waziri bado 
Naibu waziri Edwin Ngonyani.
Fedha na mipango: 

Waziri bado 
Naibu waziri Ashantu  Kijachi
Nishati na Madini: 

Waziri ni Professa Muhongo, 
Naibu waziri ni Medadi Karemaligo
Katiba na sheria: 

Waziri Harisson Mwakyembe
Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, kikanda na Kimataifa: 

Waziri  Augustino Mahiga  
Naibu waziri Dr Suzan Kolimba.

Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa:  

Waziri  Dr. Hussein Mwinyi
Wizara ya Mambo ya ndani:  

Waziri Charles Kitwanga
Ardhi na Maendeleo ya Makazi: 

Waziri  Wiliam Lukuvi, 
Naibu waziri Angelina Mabula
Maliasili na Utalii: 

Waziri bado, 
Naibu waziri  Ramo Makani
Viwanda na Biashara na Uwekezaji: 

Waziri Charles Mwijage
Elimu, Sayansi na ufundi: 

Waziri bado , 
Naibu waziri  Stella Manyanya
Afya, Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na watoto: 

Waziri Ummy Mwalimu, 
Naibu waziri  Hamis Andrea Kingwangala
Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo: 

Waziri Nape Nnauye, 
Naibu waziri  Anastazia Wambura
Wizara ya Maji na Umwagiliaji: 

Waziri Makame Mbarawa, 
Naibu waziri ni Isack Kamwene

No comments:

Post a Comment