Thursday, October 15, 2015

RIZIKI YA MTU IKO KWA MTU

 Ama kweli riziki ya mtu iko kwa mtu.
Mhamasishaji mkubwa wa mambo ya uchaguzi, ambae hushinda pale Makutano ya Reli Tazara akielekea kuokota riziki yake aliyotuzwa na wasamaria wema wanaopita.


No comments:

Post a Comment