Friday, October 2, 2015

MAISHA KIZUNGUMKUTI

Maisha kizungumkuti,
Uhuru Road, Ilala sokoni leo asubuhi.
Picha nimezipiga nikiwa ndani ya daladala, zinaonesha maisha yalivyo kizungumkuti.
Asubuhi hii ninapoelekea ofisini,
Wengine tayari wapo Bar wanakata moja baridi, moja moto,
Wengine wanaharakisha kufikisha mizigo kwenye sehemu zao za biashara,
Na wengine vijiwe vimedoda wanatafuta wateja.
Yote maisha...........

No comments:

Post a Comment