Thursday, September 3, 2015

MILIMA HAIKUTANI, BINADAMU HUKUTANA

Hakika milima haikutani, bali Binadamu hukutana.
Nyumbani kwa Ankal Magafu Mganga, Nyamatare Musoma.
Niliondoka pahala hapa zaidi ya miaka 35 iliyopita,
Wakati nilipohitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari Mara.
Nimepata bahati ya kurejea tena hapa majuzi, 01/08/2015.
Ni mabadiliko mengi na makubwa yametokea...................
Tulikumbushana mengi,
Tunamshukuru Mungu wote tu hai,

No comments:

Post a Comment