Wednesday, September 9, 2015

BEST EXAMINATION WISHES

Maisha ya shule ni safari ndefu....................
Vumi, Vumilia, ni safari ndefu.....................
Hatimae baada ya miaka kadhaa, Kate Penina, Manyama na Harrison wanaingia chumba cha mtihani kuhitimisha safari yao ya elimu ya Msingi.
Mavuno hutegemea kile ulichopanda,
Natumaini na wao walipanda mbegu bora, na tutarajie mavuno mazuri.
Kila la kheri LY wote, tupo pamoja nanyi tukiwaombea matokeo yaliyo mema.

2 comments:

  1. Pamoja nao pia, Better Robert Manyama nae yuko kwenye mitihani kule Nakatuba.

    ReplyDelete