Friday, July 10, 2015

AMA KWELI KUNA UPEPO MBAYA !!

Zamani zile nikisikia simulizi za upepo mbaya,
ukianza kuvuma, mpaka upite nyuma umeacha majanga mengi.............
Huu ndio upepo unaovuma Dar mpaka Nakatuba sasa.
Homa, mafua, flu na kadhalika................
Mwenyezi Mungu atuepushe na maradhi ya upepo huu,
Na wale ambao tayari wamepitiwa na upepo huu, Eeeh Mwenyezi Mungu twakuomba uwaponye haraka.
Pichani Bilshani a.k.a. Chuma akiwa amelazwa hospitali ya Kibara

No comments:

Post a Comment