Wednesday, April 8, 2015

BURIANI JUMA MWANAMBARA

 Late Juma Ali Mkawa Mwanambara,
hii picha niliipiga tarehe 28 February 2015 siku ya mazishi ya shemeji yangu Bi Mwajuma.
Juma Mwanambara alihudhuria tukashiriki nae kwenye mazishi hayo.
Tarehe 05 Februari, siku ya hitima ya Bi Mwajuma nilipata habari ya kifo cha Juma Mwanambara.
Juma alikuwa mmojawapo wa Maafisa Ushirika walionipokea wakati wa kuanza ajira yangu kama Afisa Ushirika msaidizi wilayani Bagamoyo Novemba 1982.
Tarehe 06 Februari 2015, Juma Ali Mwanambara amezikwa makaburi ya Mwanakalenge, ni pembeni tu mwa kaburi la shemeji yangu  Bi. Mwajuma.
Buriani Juma

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

No comments:

Post a Comment