Monday, March 9, 2015

YALE YALE, KINYEREZI BRIDGE

Daraja letu la muda la Kinyerezi halipo tena,
Ukorofi kama ule ule wa mwanzo,
Kupitisha mizigo mizito,
Na safari hii ni CAMEL CONCRETE.
Na foleni sasa hazina simile............

No comments:

Post a Comment