Wednesday, March 11, 2015

WAHIDA SASA NI PENINA

 





Matendo Ya Mitume 2:38

38 Petro aliwajibu, “Tubuni, muache dhambi na kila mmoja wenu abatizwe katika jina la Yesu Kristo, ili msamehewe dhambi zenu; nanyi mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu.

Ubatizo wa Penina Wahida Jabir
Kinyerezi SDA,
28 Februari 2015

1 comment:

  1. hongera sana Penina. Mungu akubariki daima.

    Bj & BenG

    ReplyDelete