Tuesday, March 24, 2015

MTUHUMIWA AHUKUMIWA NA WANANCHI

Msimbazi Centre,
Kawawa road, mchana.
Bwana mmoja ambae jina lake hajatambulika amekumbana na kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kutaka kumwiba mtoto mdogo kutoka ndani kwao mitaa ya Kigogo Sambusa/Msimbazi Centre.
Picha ya kwanza juu, Mama mtoto akiwa na mtoto aliyeponea chupuchupu kuibiwa akisimulia mkasa mzima ilivyokuwa.

No comments:

Post a Comment